Iqaamah kwenye spika


Swali 234: Kukimu swalah kwenye kipaza sauti ndio bora au pasi na kipaza sauti?

Jibu: Kukimiwe kwenye kipaza sauti. Baadhi ya watu wanakuwa ni wenye kupumbaa na hivyo Iqaamah inakuwa yenye kuwazindua.

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Mar´ah al-Muslimah, uk. 92
  • Imechapishwa: 10/08/2019