Swali: Ni wajibu kutawadha tena wakati wa kula ini la ngamia?
Jibu: Ndio. Ni katika nyama ya ngamia.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (70) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighatsah%20-%2019%20-0%207%20-%201438.mp3
- Imechapishwa: 10/09/2017