Swali: Je, inajuzu kutawassul kwa haya ya Allaah?
Jibu: Ndio, inajuzu. Kuwa na haya ni sifa miongoni mwa sifa za Allaah. Bali haya ndio sifa kubwa ya Allaah. Hivyo inajuzu kufanya Tawassul kwa haya ya Allaah. Kisichojuzu ni kufanya Tawassul kwa haya ya viumbe.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (20) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/2130
- Imechapishwa: 09/07/2020
Swali: Je, inajuzu kutawassul kwa haya ya Allaah?
Jibu: Ndio, inajuzu. Kuwa na haya ni sifa miongoni mwa sifa za Allaah. Bali haya ndio sifa kubwa ya Allaah. Hivyo inajuzu kufanya Tawassul kwa haya ya Allaah. Kisichojuzu ni kufanya Tawassul kwa haya ya viumbe.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (20) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/2130
Imechapishwa: 09/07/2020
https://firqatunnajia.com/inajuzu-kufanya-tawassul-kwa-haya-ya-allaah/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)