Ni sawa nifungishe ndoa kwa njia ya simu?

Swali: Je, inajuzu kwangu kufungisha ndoa pamoja na baba wa mke kupitia njia ya simu?

Jibu: Hapana, usifungishe kupitia njia ya simu. Ni lazima uhudhurie kwenye kikao cha ndoa na usikie uulizwaji swali na kukubali na kwa kuwepo mume, walii wa mwanamke na mashahidi kwenye kikao cha ndoa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (20) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/2130
  • Imechapishwa: 09/07/2020