Imesihi kwamba Mtume alikojoa kwa kusimama?


Swali: Imesihi kwamba wakati fulani Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa akikojoa hali ya kusimama?

Jibu: Ndio. Imesihi kwamba (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alifanya hivo wakati fulani. Kwa mfano ikiwa sehemu fulani si sawa kukaa kwa sababu kuna maji au matope, basi katika hali hii hakuna neno. Alifanya hivo (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).ad

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (88) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/igahssat.mp3
  • Imechapishwa: 18/09/2018