Swali: Imamu akisoma kwa suati katika Swalah ya janaza tuseme “Aamiyn” wakati anapomaliza akisema “wa laa dhwaalliyn”?
Jibu: Hapana, hili halikuwekwa. Ibn ´Abbaas alifanya hili kwa ajili tu ya kuwafunza watu kuwa kunasomwa al-Faatihah. Isitoshe hakunyanyua sauti sana, alinyanyua sauti kwa kiasi cha kumsikia aliye karibu naye.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (10) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1430-10-29.mp3
- Imechapishwa: 11/11/2014