Imaam al-Fawzaan kuhusu kufunga Muharram yote


Swali: Imethibiti katika Sunnah ya Mtume kufunga mwezi wa Muharram wote?

Jibu: Ndio. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Swawm bora baada ya Ramadhaan ni mwezi wa Muharram.”

Mtu akifunga wote ni sawa. Hili ni jambo zuri. Hili linahusiana tu na mwezi wa Muharram.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/sfranih_11.mp3
  • Imechapishwa: 21/06/2018