Iftaar ya waalimu pamoja na wanafunzi


Swali: Siku hizi masomo yanafanya siku iliyofunguliwa. Wanafunzi wanaleta chakula kutoka majumbani mwao na sisi waalimu tunafuturu pamoja nao. Idara inajua kuhusu hilo na wanafunzi wanafurahi kwa sisi kula pamoja nao. Inajuzu kwetu kula chakula hichi pamoja na wanafunzi?

Jibu: Inategemea na nidhamu. Ikiwa wizara inakubaliana na hili, hakuna neno.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (69) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/12-07-1438i.mp3
  • Imechapishwa: 26/08/2017