Ibn ´Uthaymiyn kuhusu uzazi wa kupandikiza

Swali: Inajuzu kwa wanandoa ambao ni hawana uzazi kutumia upandikizaji wa chupa?

Jibu: Mimi sitoi fatwa juu ya hili. Lakini huenda wengine wakafanya hivo[1]. Ama kuhusu mimi sifutu hilo.

[1] Tazama https://firqatunnajia.com/al-albaaniy-kuhusu-mtoto-wa-chupa-test-tube/

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Liqaa’ ash-Shahriy (55) http://binothaimeen.net/content/1262
  • Imechapishwa: 04/10/2019