Swali: Ni ipi hukumu ya kutumia kalamu na Subha ya fedha?
Jibu: Ni haramu na haijuzu. Kilichoruhusiwa ni pete ya fedha na mapambo ya dhahabu na panga na mikanda ya dhahabu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (17) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdtf-08011435.mp3
- Imechapishwa: 04/10/2019
Swali: Ni ipi hukumu ya kutumia kalamu na Subha ya fedha?
Jibu: Ni haramu na haijuzu. Kilichoruhusiwa ni pete ya fedha na mapambo ya dhahabu na panga na mikanda ya dhahabu.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (17) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdtf-08011435.mp3
Imechapishwa: 04/10/2019
https://firqatunnajia.com/kalamu-na-subha-ya-dhahabu/