Hukumu ya mchezo wa sataranji (chess) na karata

Swali: Ni ipi hukumu ya kucheza karata zisizokuwa na picha za viumbe wenye roho? Ni ipi hukumu ya mchezo wa sataranji? Pamoja na kuzingatia kwamba wanachunga nyakati za swalah.

Jibu: Mambo haya, mchezo wa sataranji na karata, ni haramu kwa mujibu wa wanachuoni wengi wa leo. Miongoni mwa wenye kuonelea kuwa ni haramu ni Shaykh wetu Abu ´Abdillaah ´Abdir-Rahmaan as-Sa´diy (Rahimahu Allaah).

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Liqaa´ ash-Shahriy (66) http://binothaimeen.net/content/1494
  • Imechapishwa: 01/02/2020