Swali: Ni ipi hukumu ya kuwinda mbwa mwitu, nyani, mbwa na kipanga kwa ajili ya kuwauza?
Jibu: Mbwa hauzwi. Kwa sababu Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amekataza thamani ya mbwa. Vivyo hivyo simba na simbamarara hawauzwi. Kwa sababu ni haramu [kuwala].
- Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (23)
- Imechapishwa: 28/01/2022