Swali: Ni ipi hukumu ya kusoma Khutbah ya ijumaa kwa utaratibu ipasavyo (ترتيل)?

Jibu: Kusoma kwa kwa utaratibu ipasavyo inakuwa kwa Qur-aan. Kisichokuwa Qur-aan kisisomwe kwa kwa utaratibu ipasavyo. Lakini anaweza akasoma Khutbah kwa sauti nzuri, kwa kuwa kufanya hivi kunawaathiri wasikilizaji.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (04) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1430-5-29.mp3
  • Imechapishwa: 10/11/2014