Swali: Picha aina zote ni haramu au video ni zenye kuvuliwa?

Jibu: Picha za masanamu ni haramu na hazijuzu. Kuhusu picha za kivuli/za kisasa, zinafaa tu wakati wa dharurah, kama vile pasipoti na kitambulisho. Picha kama hizi zinafaa wakati wa dharurah tu. Kwa sababu pasi na picha usingeweza kusafiri na vyeti vyako hivi na isitoshe manufaa yako yangelipotea. Kwa ajili ya dharurah picha zimeruhusiwa kwa sababu ya mambo haya tu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (91) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-22-7-1439.mp3
  • Imechapishwa: 31/07/2018