Hitimisho


Ninamuomba Allaah, hali ya kuwa ametukuka, tafiti hii iwe ni yenye kuelekeza katika njia bora na njia yenye kuelekeza katika radhi za Allaah (Ta´ala).

Swalah na salaam zimwendee Mtume na mja Wake Muhammad, kizazi Chake na Maswahabah zake.