Harufu yenye kunukia inamfunguza mfungaji?


Swali: Harufu nzuri au mbaya ya kunukia inamfunguza mfungaji katika Ramadhaan?

Jibu: Harufu zote, sawa yenye kunukia na isiyonukia, haimfunguzi mfungaji katika Ramadhaan na nje yake, swawm ya faradhi wala ya sunnah.

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (10/271)
  • Imechapishwa: 11/06/2017