Hapa ndipo mume ana haki ya kumkataza mke kuwatembelea wazazi


Swali: Inajuzu kwa mume kumkataza mke wake kuwatembelea wazazi wake?

Jibu: Haijuzu kwake kufanya hivo isipokuwa ikiwa kama wazazi wake wanamuathiri na wanamsababishia chuki dhidi ya mume wake. Katika hali hiyo ana haki ya kumkataza.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (86) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/NEW.lite_.mp3
  • Imechapishwa: 11/07/2018