Hakuna Neno Kuswali Swalah Ya Jeneza Makaburini

Swali: Inajuzu kuswali swalah ya jeneza makaburini kwa sababu ya kupitwa na swalah ya kwanza kwa maiti?

Jibu: Ni sawa. Makatazo ya kuswali kwenye makaburi hayahusiani na swalah ya jeneza kwenye makaburi. Suala hili limevuliwa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (23) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tahid-25-07-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 11/02/2017