Hakuna du´aa maalum wakati mtu anatawadha


Swali: Je, kumesihi Dhikr maalum anayotakiwa kuisema mwenye kutawadha wakati yuko anatawadha?

Jibu: Hakukusihi kitu.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 118-119
  • Imechapishwa: 01/07/2022