Haijuzu kwa muislamu kuuza chakula mchana wa Ramadhaan


Swali: Kuna muislamu ambaye anamiliki mgahawa Ufaransa. Je, inajuzu kwake kuwauzia chakula – sawa kuwauzia waislamu au makafiri – mchana wa Ramadhaan?

Jibu: Hapana, haijuzu. Haijuzu kwa muislamu kuuza chakula mchana wa Ramadhaan. Haijalishi kitu anawauzia waislamu au makafiri.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-Muhsin bin Hamaad al-´Abbaad
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=DphfVkUSJyU
  • Imechapishwa: 22/05/2018