Swali: Kuna mtu amemchumbia msichana na amemuona muono wa Kishari´ah na kukubali kukatimia. Je, anaweza kuomba kumuona kwa mara nyingine kwa kuwa amesahau sura yake na anataka kuhakikisha kukubali kwake?
Jibu: Hakuna. Afunge naye ndoa, amwingilie na ahakikishe.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14301
- Imechapishwa: 19/09/2020