Eda ya mke inaanza tokea siku ile mume Kamtaliki


Swali: Ni siku ngapi za eda kwa mwenye Talaka Baain atampomtaliki mume wake naye ni ghaibu kwake? Na je, kuna tofauti kati ya Talaka ya aliye ghaibu na aliyepo?

Jibu: Hazitofautiani. Eda yake inaanza tokea siku ile alimtaliki hata kama ikiwa mke hakujua naye mume hayupo. Hata kama itakuwa hakujua ila baada ya kwisho kwa eda, atakuwa amekwishatoka katika eda.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/10001
  • Imechapishwa: 05/03/2018