Damu ya nifasi inayoendelea baada ya siku 40

Swali: Mwanamke anauliza. Iliendelea damu ya nifasi zaidi ya siku arobaini. Je, niswali na kufunga?

Jibu: Nifasi haizidi masiku arobaini, na ikizidi siku hizo inakuwa sio nifasi bali inakuwa ni damu tu. Aoge na kuswali. Haya ni madhehebu jopo la wanachuoni wengi.

Check Also

Kufanya sherehe inapoisha nifasi ya mwanamke siku arubaini

Swali: Ipi hukumu ya “al-Arba´iyniyyah” yaani mwanamke mwenye nifasi damu yake inapokatika na akatwahirika damu …