Swali: Mwanamke anauliza. Iliendelea damu ya nifasi zaidi ya siku arobaini. Je, niswali na kufunga?
Jibu: Nifasi haizidi masiku arobaini, na ikizidi siku hizo inakuwa sio nifasi bali inakuwa ni damu tu. Aoge na kuswali. Haya ni madhehebu jopo la wanachuoni wengi.
- Mhusika: ´Allaamah Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.youtube.com/watch?v=mS4yH7NI6Pc
- Imechapishwa: 24/09/2020