Damu ya hedhi inayotoka kinyume na wakati wake uliozoeleka

Swali: Mwanamke akitokwa na damu ya hedhi kinyume na wakati wake. Damu hiyo ina sifa ya hedhi. Je, aichukulie kuwa ni hedhi au istihaadhah?

Jibu: Ikiwa kawaida yake imebadilika, wakati mwingine hutokea hili ikabadilika kwa kuzidi na kupungua. Ikiwa jambo hili linamkariria kwake, ina maana ada yake imebadilika muda wake. Inaweza kuchelewa pia.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (72) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14085
  • Imechapishwa: 17/11/2014