Swali: Kuna mwanamke amekula Ramadhaan nzima kwa sababu ya nifasi. Je, anaweza kufunga Sitta Shawwaal kwanza kisha ndio akaanza kufunga deni la Ramadhaan?
Jibu: Hapana. Hakuafikiana na Hadiyth. Hadiyth inasema:
“Atakayefunga Ramadhaan na akaifuatishia Sitta ya Shawaal.”
“… na akaifuatishia”, lakini huyu hajafunga Ramadhaan. Aanze kufunga kwanza Ramadhaan.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (72) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14085
- Imechapishwa: 16/11/2014
Swali: Kuna mwanamke amekula Ramadhaan nzima kwa sababu ya nifasi. Je, anaweza kufunga Sitta Shawwaal kwanza kisha ndio akaanza kufunga deni la Ramadhaan?
Jibu: Hapana. Hakuafikiana na Hadiyth. Hadiyth inasema:
“Atakayefunga Ramadhaan na akaifuatishia Sitta ya Shawaal.”
“… na akaifuatishia”, lakini huyu hajafunga Ramadhaan. Aanze kufunga kwanza Ramadhaan.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (72) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14085
Imechapishwa: 16/11/2014
https://firqatunnajia.com/mwanamke-wa-nifasi-kuanza-siku-sita-za-shawwaal-kabla-ya-kulipa-deni-la-ramadhaan/