Bora zaidi wakodishie wengine

Swali: Kuna mtu ana jengo na anawakodishia baadhi ya maduka wale wanaouza king´amuzi/dishi, simu na TV. Ni ipi hukumu ya hilo?

Jibu: Salama zaidi awakodishie wengine. Vinginevyo mchanganyiko wa vitu hivi hauna neno. Ni mchanganyiko wa vitu vilivyo na kheri na shari.

Swali: Ndani yake kuna king´amuzi/dishi?

Jibu: Haijuzu kuuza king´amuzi/dishi.

Swali: Anawakodishia?

Jibu: Asiwakodishie wale wanaouza king´amuzi/dishi.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/21616/حكم-تاجير-المحلات-لمن-يبيع-الدش-ونحوه
  • Imechapishwa: 28/08/2022