650- Nilimsikia Ahmad bin Hanbal akisema:

“Bora ni kutokufunga safarini.”

651- Nilimsikia akiulizwa kuhusu msafiri anayefunga katika Ramadhaan. Akajibu:

“Sipendezewi na jambo hilo, ni mamoja yamefanyika katika Ramadhaan au nje yake. Sikhitari kufunga safarini. Lakini akifunga, swawm yake ni sahihi.”

  • Mhusika: Imaam Abu Daawuud Sulaymaan bin al-Ash´ath as-Sijistaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ahmad, uk. 135
  • Imechapishwa: 26/03/2021