Swali: Kuna vijana wenye kutundika bendera na alama za nchi za makafiri kwenye magari yao. Je, hili linaiathiri Tawhiyd?

Jibu: Haijuzu. Haijuzu kuwa na alama za makafiri shingoni, kwenye nguo, kwenye gari na nyumbani. Hili halijuzu. Hili limeharamishwa khatari sana. Ikiwa anaonelea kuwa ni halali na anawaadhimisha makafiri na alama hizi ni kafiri.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (26) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20%20-%204%20-%201%20-%201436.mp3
  • Imechapishwa: 11/02/2017