Swali: Allaah (Ta´ala) amesema:
الرَّحْمَـٰنُ عَلَى الْعَرْشِ اسْتَوَىٰ
“Mwingi wa huruma amelingana juu ya ‘Arshi.”[1]
Je, ´Arshi ndio Kursiy?
Jibu: Hapana, ´Arshi sio Kursiy. ´Arshi iko juu ya Kursiy. Hadiyth inasema kuwa Kursiy ni sehemu ya miguu miwili. ´Arshi ndio kiumbe kikubwa kilichoko juu ya mbingu.
[1] 20:05
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (58) http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/16539
- Imechapishwa: 23/09/2017