ar-Raajihiy kumtahiri mwanaume na mwanamke

Swali: Ni ipi hukumu ya kutahiriwa kwa mwanamke na mwanaume?

Jibu: Kwa mwanaume ni wajibu. Kuhusu mwanaume ni jambo limependekezwa kwa mtazamo wa wanachuoni wengi.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (07) http://dl.islamweb.net/audiopath/audio/lecturs/aalrrajhee/434/434.mp3
  • Imechapishwa: 06/04/2019