Anampeleka Mke Wake Na Rafiki Wa Mkewe Chuo Kikuu

Swali: Humpeleka na gari mke wangu kwenda chuo kikuu. Wakati mwingine anakuwa pamoja naye rafiki yake. Je, inajuzu kuwapeleka wakiwa pamoja?

Jibu: Hakuna neno. Hii sio safari wala faragha. Inajuzu. Hakuna neno.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (7) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdt–15041434.mp3
  • Imechapishwa: 20/12/2016