an-Najmiy kuhusu Ibn Laadin


Swali: Baadhi ya watu wanadai kuwa Ibn Laadin ndio Mahdiy anayesubiriwa na wanamwita kuwa ndio kiongozi wa waumini. Wasemaje kwa hilo?

Jibu: Hawa ndio Mashaytwaan. Hawa ndio Mashaytwaan. Ibn Laadin ni Shaytwaan, Khabithi na ni Khaarijiy. Haijuzu kwa yeyote yule kumsifu. Na yule ambaye atakayemsifu, hii ni dalili tosha ya kuwa na yeye ni Khaarijiy kama yeye.

  • Mhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=8sJb74fPZ1g
  • Imechapishwa: 15/03/2018