Amepata maji kabla ya muda wa swalah kumalizika


168- Nilimsikia baba yangu kuhusu bwana ambaye amefanya Tayammum na kisha baadaye akapata maji ndani ya muda wa swalah. Akajibu:

“Airudi swalah yake.”

Abu Salamah amesema:

“Asiirudi swalah yake.”

Ibn-ul-Musayyab amesema:

“Airudi swalah yake.”

  • Mhusika: Imaam ´Abdullaah bin Ahmad bin Hanbal
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ahmad (1/130)
  • Imechapishwa: 22/01/2021