Swali: Kuna mtu amefungua kwa sababu ya kutokwa na manii baada ya kubusu na mengine mfano wake. Je, analazimika kulipa na kutoa kafara au kipi kinachomlazimu?

Jibu: Analazimika kulipa peke yake.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalish-Shaykh
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.mufti.af.org.sa/ar/content/أفطر-بسبب-تقبيل
  • Imechapishwa: 12/06/2022