Ameacha anausia msichana wake aozeshwe binadamu yake


Swali: Kuna mtu aliacha anausiwa mtoto wake wa kike aozeshwe binamu yake. Je, ni lazima kutekeleza wasia baada ya kufa?

Jibu: Aozehwe kwa mtu ambaye ni mzuri mwema kwake; ambaye yeye yuko radhi nae.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (82) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-08-3-1439-01.mp3
  • Imechapishwa: 11/02/2018