al-Fawzaan mwanamke kulipa swalah aliyochelewesha kisha akapatwa na hedhi


Swali: Kuna mwanamke amechelewesha Swalah ya ´Aswr mpaka wakati wa mwisho na akajiwa na hedhi kabla ya kuswali. Je, alipe Swalah baada ya kutwaharika?

Jibu: Hapana. Kwa kuwa yumo katika wakati mpana. Anapata kuchelewesha maadamu bado yuko ndani ya wakati. Hana kulipa ambako ni wajibu. Lakini akilipa kwa njia ya ubora, inakuwa ni bora zaidi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (65) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13832
  • Imechapishwa: 16/11/2014