al-Fawzaan kuhusu kupangusa juu ya soksi zinazofika mpaka kwenye tindi ya mguu

Swali: Kumeenea kwa soksi zinazofika mpaka kwenye kongo za miguu. Inajuzu kufuta juu yake?

Jibu: Hapana. Haijuzu kupangusa juu ya soksi za ngozi wala soksi za kawaida zisizofunika kongo mbili za miguu. Kwa kuwa sehemu ya mguu iko wazi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (5) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdt–01041434.mp3
  • Imechapishwa: 16/10/2016