al-Fawzaan kuhusu Khatwiyb na maamuma kunyanyua mikono baina ya Khutbah mbili

Swali: Nimeona katika nchi moja Khatwiyb anapomaliza Khutbah ya kwanza anakaa na kunyanyua mikono yake wakati wa kuomba Du´aa na kadhalika maamuma…

Jibu: Hii ni Bid´ah. Hii ni Bid´ah. Kunyanyua mikono katika kuomba Du´aa baina ya Khutbah mbili ni Bid´ah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (04) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1430-5-29.mp3
  • Imechapishwa: 10/11/2014