al-´Aswr wakati wa kutengana


Swali: Je, imethibiti kwamba Maswahabah (Radhiya Allaahu ´anhum) walikuwa wakisoma Suurah “al-´Aswr” wakati wanapotaka kutengana?

Jibu: Ndio. Kwa sababu ndani yake kuna kuusiana yaliyo ya haki na kuusiana yaliyo na subira.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (98) https://www.alfawzan.af.org.sa/ar/node/18006
  • Imechapishwa: 15/05/2019