Abul-Hasan al-Ash´ariy aliachana na Ahl-ul-Bid´ah na akajiunga na Ahl-us-Sunnah

Swali: Je, ni sahihi kwamba Abul-Hasan al-Ash´ariy alitubu na akajiunga katika Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah? 1,12

Jibu: Ndio, yanapatikana kwenye vitabu vyake. Yanapatikana kwenye kitabu chake “al-Ibaanah” na “Maqaalaat-ul-Islaamiyyiyn” na kwamba yuko katika madhehebu ya Imaam Ahmad bin Hanbal. Alisema hilo wazi. Kimeandikwa na kinapatikana hivi sasa. Kadhalika aliweka wazi hilo kwenye barua yake kwenda kwa watu wa Thaghr. Lakini pamoja na hivyo wafuasi wake hawakujirudi. Yeye alijirudi. Allaah Amrahamu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (10) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/msrf–02041434.mp3
  • Imechapishwa: 27/06/2015