47. Du´aa wakati wa kupokea zawadi


185- ´Aaishah (Radhiya Allaahu ´anha) amesema:

”Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alipewa zawadi ya kondoo. Akasema: ”Igawe.” ´Aaishah akamuuliza mtumishi walichosema watu. Mtumishi yule akasema: ”Walisema:

بارَكَ الله فيكم

”Allaah Awabariki.”

´Aaishah akasema:

وفيهم بارك اللهُ

”Allaah Awabariki wao pia.” Tunasema kama walivyosema na thawabu zinabaki kwetu.”

  • Mhusika: Shaykh-ul-Islaam Ahmad bin Taymiyyah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ul-Kalim at-Twayyib, uk. 113
  • Imechapishwa: 21/03/2017