45. Du´aa ya kuingia sokoni


183- Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

”Anayeingia sokoni na akasema:

لا إِله إِلاَّ الله وَحْدَهُ لاَ شَرِيكَ له، له الملك ولَهُ الْحَمْد يُحْيي ويُمِيتُ و هو حي لا يموت، بيده الخير وَهُو على كُلِّ شيءٍ قدير

“Hakuna mola anayeabudiwa kwa haki isipokuwa Allaah, Mmoja asiyekuwa na mshirika. Ni Wake Ufalme na ni Zake himdi. Anahuisha na Kufisha. Naye yu hai asiyekufa. Kheri iko Mikononi Mwake na Yeye juu ya kila jambo ni Muweza.”

Allaah Humuandikia thawabu milioni, Humfutia madhambi milioni na Humnyanyua katika daraja milioni.”

  • Mhusika: Shaykh-ul-Islaam Ahmad bin Taymiyyah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ul-Kalim at-Twayyib, uk. 112
  • Imechapishwa: 21/03/2017