38. Swawm inaathirika kwa kughushi?


Swali 38: Inatokea wakati mwingine baadhi ya wanafunzi wanaghushi katika mchana wa Ramadhaan. Je, kughushi kunaathiri swawm zao?

Jibu: Kughushi ni kitu kimoja na swawm ni kitu kingine.

  • Mhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaas-Swiyaam, uk. 56
  • Imechapishwa: 12/06/2017