Hakuna neno kwa mwanamke kutumia kitu chenye kuzuia kuteremka kwa hedhi yake ikiwa hazimdhuru afya yake. Akizitumia na hedhi ikakoma basi atafunga, ataswali na atafanya Twawaaf na hayo yatasihi kutoka kwake. Atakuwa kama wanawake wengine waliotwahirika.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Tanbiyhaat, uk. 41
  • Imechapishwa: 30/10/2019