14. Dalili ya kumi na mbili kutoka katika Sunnah juu ya mikono ya Allaah

13- Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Allaah aliandika kitabu kwa mkono Wake na akakiweka Kwake juu ya ´Arshi: hakika rehema Yangu inashinda ghadhabu Zangu.”[1]

Hadiyth ni Swahiyh.

[1] al-Bukhaariy (3194) na Muslim (2107).

  • Mhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ithbaat-ul-Yad li-Laah Swifatan min Swifwaatih, uk. 19
  • Imechapishwa: 19/06/2019