07. Hadiyth “Yeyote mwenye kusimulia kutoka kwangu mazungumzo yoyote… “

95- Samurah bin Jundub (Radhiya Allaahu ´anh) ameeleza kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Yeyote mwenye kusimulia kutoka kwangu mazungumzo yoyote hali ya kuwa anadhani kuwa ni uongo, basi yeye ni mmoja katika waongo.”[1]

Ameipokea Muslim na wengineo.

[1] Swahiyh

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/148)
  • Imechapishwa: 01/05/2020
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy