03. Ulazima wa kuweka kila siku nia kabla ya alfajiri

2- Swawm ya faradhi haisihi isipokuwa mpaka mtu aweke nia usiku. Hayo ni kutokana na yale yaliyothibiti kutoka kwake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ya kwamba amesema:

”Yule asiyeweka nia kabla ya alfajiri basi hana swawm.”[1]

Imekuja katika tamko lingine:

”Ambaye hakulala na nia ya funga kabla ya alfajiri.”[2]

Imekuja katika tamko lingine:

”Ambaye hakulala na nia ya funga sehemu ya usiku.”[3]

[1] Abu Daawuud (2454).

[2] an-Nasaa´iy (2331),

[3] an-Nasaa´iy (2334).

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Mukhtaswaru fiy Ahkaam-is-Swiyaam, uk. 10-11
  • Imechapishwa: 10/04/2019