02. Kinachopata kufahamika kwa mazazi


Kuzua mazazi mfano wa haya kinachopata kufahamika ni kwamba Allaah (Subhaanah) hakuwakamilishia dini Ummah huu na kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) hakuwafikishia Ummah yale wanayotakiwa kuyatendea kazi mpaka walipokuja hawa waliokuja nyuma wakazua ndani ya Shari´ah ya Allaah yale ambayo hakuyaidhinisha hali ya kudai kwamba hayo yanawakurubisha kwa Allaah, haya pasi na shaka yoyote ni khatari kubwa na kupingana na Allaah (Subhaanah) na Mtume Wake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tahdhiyr minal-Bid´ah, uk. 07
  • Imechapishwa: 11/01/2022