Ndani yake kuna sura zifuatazo:

Sura ya kwanza: Maana ya ´Aqiydah na ubainifu juu ya umuhimu wake kwa kuzingatia kwamba ndio msingi ambao linasimama juu yake jengo la dini.

Sura ya pili: Vyanzo vya ´Aqiydah sahihi na mfumo wa Salaf katika kuipokea.

Sura ya tatu: Kupondoka katika ´Aqiydah na njia ya kujiepusha nalo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: ´Aqiydat-ut-Tawhiyd wa Bayaan maa yudhwaadduhaa, uk. 06
  • Imechapishwa: 17/12/2019